Maisha ya ndoa yamemuonyesha dadangu vituko na kumpa presha. Tulifurahi alipopata mchumba 2012 na kufunga pingu. Miezi sita haikuisha, Magdalene alikuwa ameregeshwa nyumbani. Cha kushangaza ni kwamba, alituambia hapakuwa na sababu ya msingi, hakufanya lolote wala kumkosea mtu. Eti Moses aliamka siku moja na kumwambia afunge virago arudi kwao.
Ndoa ya pili ilichukua mkondo uo huo. Patrick alianza vituko vya kumpiga kila siku. Anarudi usiku akiwa amelewa, mara zingine analala nje, anamtusi na kumuita malaya. Alivumilia mwishowe vita na madharau vikamshinda. Mwanaume amemgeuza ngoma, hakosi majeraha kila siku. Hatimaye akarudi nyumbani amekonda, afya imezorota na anauguza majeraha mwili mzima. Akisimulia jinsi Patrick alikuwa anamdharau utashikwa na kichefuchefu. Alikuwa anaongea na wanawake wengine mbele yake, akiwaambia yeye bado hajaoa. Anawatumia pesa na kuwanunulia nguo ghali na vyombo huku Magdalene akilala njaa.
“Nimeyapitia kikweli dadangu. Sina bahati, yaani hata kidogo. Kila nikidhani nimepata mume wa kuaminika na kuona nitatulia katika ndoa, vituko vinaanza. Umdhaniye ndiye kumbe siye. Mateso bila chuki. Nimevumilia nimeshindwa, heri nibaki peke yangu” alinisimulia. Safari haikuishia hapo. Mamangu alimtafutia mwanaume kutoka Kitui anayeitwa Kilonzi. Si mlevi wala hapigi mtu, lakini alikuwa mchawi kupindukia. Familia mzima ya kwa kina Kilonzi ni wachawi wasiopenda kuona maendeleo. Usiku kucha Magdalene ako na hofu asitolewe kafara. Mwishowe Kilonzi akashikwa na kuchomelewa mbali na wakaazi wa Kitui baada ya kumroga mwanamke mfanyibiashara akapata ajali na kufariki.
Akaoleka tena mwaka jana. Ndoa ya nne, chini ya miaka miwili. Hivi majuzi alinifungukia na kuniambia atajinyonga mara hii ndoa isipomletea furaha na matunda anayoyatarajia. Amefika mwisho. Bahati mbaya, familia ya mumewe na wakwe zake sasa hawamtaki. Wanapiga simu kila siku wakimtishia maisha kwamba asipoondoka na kumwacha kijana wao, watamuua. Hana tena hamu, chakula hakipiti. Siku zinajikokota. Bwanake ana hela, ako na kila kitu lakini hana amani. Magdalene anatamani hata kama angepata mume maskini lakini kuwe na amani atafurahi. Ilibidi nitafute nasaha kutoka kwa marafiki zangu tupate namna ya kumsaidia. Rafiki yangu Neema akaniambia kuna daktari ambaye ana uhakika atamsaidia. Tukaandamana na Magdalene hadi kwa Dr. Mugwenu na kumsihi aingilie kati masaibu ya Magdalene.
Daktari akasema kuna kisirani chenye Magdalene alitupiwa. Akamuelezea chanzo halisi cha kuvunjika kwa ndoa zake. Kabla ya kuolewa na mume wake wa kwanza Moses, kuna chupi ilipotea. Kumbe Kuna rafiki yake aliyekuwa akimtaka Moses na akaitumia kumfanyia kisirani hicho. Magdalene alikiri kuwa kitambo hicho ni kweli aligombana na rafiki yake Carolyn baada ya kuupata ujumbe katika simu ya Moses kutoka Carolyn akimbembeleza wakutane anataka kumwambia kitu. Kisirani hicho kimemuandama mpaka leo, wanaume wanamuoa lakini ndoa haidumu.
Hapo ndipo daktari Mugwenu akamsaidia na kupata suluhu ya kudumu. Mpaka sasa Magdalene na Mutasya wako pamoja, wamebahatikika na watoto wawili na ako na amani. Mugwenu Doctors wamemsaidia kumpa furaha na kumpa fursa ya kutulia.
MUGWENU DOCTORS EXERCISE DOCTOR-PATIENT CONFIDENTIALITY; NEITHER PATIENT’S FILE RECORDS, IDENTITY NOR SECRETS IS SHARED TO A THIRD PARTY OR MADE PUBLIC UNLESS OTHERWISE PATIENT’S/ON THEIR OWN VOLITION WISHES TO GIVE A TESTIMONY. MUGWENU DOCTORS OFFICES ARE LOCATED IN MAJENGO TOWN VIHIGA COUNTY WESTERN KENYA.
He heals pressure, diabetes ulcers, gonorrhea, syphilis, TB, manhood weakness among other things. The doctor also solves life challenges such as love issues, family problems, hardships in business, increases your luck, which is winning lottery games and court cases, promotion at work and clears away devilish spirits and dreams. For consultations call: +254740637248https://mugwenudoctors.com Email: mugwenudoctors@gmail.com